MAMA JANETH: MUENZINI MWALIMU NYERERE KWA KUWAHUDUMIA WAZEE
Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni
alipofika kutembelea makazi ya kulea wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani
Mvomero Mkoani Morogoro, Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Stephen
Kebwe.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Viongozi wa
Serikali na Chama Mkoani Morogoro alipofika kutembelea makazi ya kulea
wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment