i) Jina lake halisi ni Salum Njwope. a. k. a Samjet
ii) Hakuwa na Mama, alifariki toka kitambo.
iii)Amelelewa na Mama Mdogo.
iv) Sehemu aliyokuwa akiishi ni Yombo Buza.
vi) Amewahi kugungwa jela kwa makosa mbalimbali.
vii) Alishiriki katika shindano la 'Dume Challenge' na kuibuka Mshindi mwaka 2012. Huku akikabidhiwa kitita cha Mil 20
viii) Aliwahi kufanya kazi kama baunsa katika baadhi ya 'Night Clubs' na Casino jijini Dar.
ix) Alikuwa akitoka Nyumbani kila siku saa mbili, huku akiaga kuwa anakwenda kwenye kazi ya Ubaunsa ktk 'night club' LAKINI hakuwa anakwenda huko badala yake alikuwa akienda Buguruni kukaba na kuonesha umwamba.
x) Kwa mujibu wa waliomfahamu Scorpion Alikuwa mwanachama wa CHADEMA
Magoiga SN

No comments:
Post a Comment