Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana Wanawake na
Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico wakati alipohudhuria katika maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na
kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha
mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu
jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipohudhuria katika
maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba
na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele
cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa
Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.

alipokuwa akiangalia ubunifu wa vifaa mbali mbali uliofanywa na Vijana
wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa
yaliyofanyika katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi
Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa
uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na
Ikulu.]15/10/2016.

No comments:
Post a Comment