
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la uwekezaji lilo andaliwa na
jumuiya ya Dowoodi Bohora lililo fanyika hapa nchini katika ukumbi wa
mwalimu Nyere jijini Dar ess salam linalo lenga kutangaza fursa za
uwekezaji Tanzania kongamano hilo liliuhudhuriwa na wafanya biashara
sekta mbali mbali kutoka zaidi ya nchi 40 duniani
Picha na Chris Mfinanga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipokea shukurani kutoka kwa mwakilishi wa Shehe mkuu wa Bohara kutoka
Mumbai Shehe Badrul Jamali baada ya kufungua kongamano la uwekezaji
lililo andaliwa na Jumuiya ya Dawoodi Bohora linalo elezea furusa za
uwekezaji nchini Tanzania kushoto ni Waziri wa Viwanda Biashara na
Uwekezaji Chales Mwijage Kongamano hilo lilihudhiriwa na Bohara zaidi
ya mianne wasekta mbalimbali kutoka zaidi ya Nnchi 40 kongamano hilo
limefanyika katika ukumbi wa mikutano Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na mwakilishi wa Shehe mkuu wa Bohora kutoka Mumbai Shehe
Badrul Jamal katikati ni muandaaji wa kongamano la wafanya biashara wa
Dhehebu la Dawood Bohora Bwana Mustafa Hassanali kongamano hilo
lilikuwa likielezea furusa za uwekezaji zilizopo Tanzania
KONGAMANO HILO LIMEFANYIKA MWISHONI MWAWIKI HII


No comments:
Post a Comment