| Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa katika zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya Mama na mtoto,jimboni humo. |
| Mbunge Ridhiwani akipimwa mapigo ya mojo kabla ya kutoa damu,upimaji wa mapigo ya moyo ni muhimu katika zoezi la utoaji damu. |
| Mbunge Ridhiwani akipata maelekezo kutoka kwa wahudumu wa afya katika zoezi hilo la kuchangia damu |


No comments:
Post a Comment