Mh.
William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
akizindua rasmi Kamisheni ya Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi katika
ukumbi wa Tume Jijini Dar es salaam jana.
Makamishna wateule, Pamoja na Menijimenti ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi wakiwa katika uzinduzi huo.
Mh. William Lukuvi (MB) , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (aliyeketi katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Tume pamoja na
Makamishna wateule Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi
Bora ya Ardhi



No comments:
Post a Comment