
Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki
Zanzibar Mhe. Ibrahim Raza akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Kisauni
alipofika kukabidhi madawati katika skuli hiyo na kuona changamoto zao.

Mwalimu wa Biology wa Shule ya
Kisauni Muh’d Ali Muh’d akimueleza Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe.
Ibrahim Raza juu ya uhaba wa vifaa vya maabara katika skuli hiyo.

Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki
Mhe. Ibrahim Raza akimkabidhi msaada wa Madawati 80 Mwalim Mkuu wa Shule
ya Kisauni Machalila Kulima Ndega kwajili ya shule hiyo.


No comments:
Post a Comment