Bw.
Erio, na maafisa wake, wakipatiwa maelezo na maafisa wa Jeshi la
Magereza alipokagua moja ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya ujenzi wa
kiwanda hicho
Kamishna
wa Magereza, (CP), Editha Malya, aliyemuwakilisha Mkuu wa Jeshi la
Magereza Nchini, (CGP), akizungumza wakati wa kikao cha kupeana taarifa
na ujumbe wa PPF ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu Erio Oktoba 9, 2016
Bw. Erio, akizungumza wakati wa mkutano huo mfupi kabla ya kukagua maeneo hayo ya ujenzi
Mkurugenzi
wa Uwekezaji wa PPF, Steven Alfred, (katikati), akizungumza jambo
wakati wa mkutano huo. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Mfuko huo, Bi. Lulu
Mengele, na kushoto ni Kamishna wa Magereza, Editha Malya






No comments:
Post a Comment