
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama
(katikati) akikata utepe kufungua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Vijana jana mkoani Simiyu. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe.
Anthony Mavunde, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka (wa pili kutoka
kushoto), Waziri Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Titus Kamani na Naibu
Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Walemavu Mhe. Abdallah Possi (Mwenye Kofia).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama
akipata maelezo kuhusiana na Elimu ya Mpiga Kura alipotembelea Banda la
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana mkoani Simiyu.

Baadhi ya Wanachi wakifuatilia
ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa
Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere wilayani Bariadi mkoani Simiyu jana


No comments:
Post a Comment