
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa mkandarasi wa
Kampuni ya Chongqing Foreign Trade and Economic Cooperation (Group)
kutoka China anayejenga barabara ya Tabora-Nyahua yenye urefu wa KM 85
alipokagua kipande cha barabara ya Tabora mjini chenye urefu wa KM 6,
mkoani Tabora.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akipokea taarifa ya maendeleo ya
mradi wa barabara ya Tabora-Nyahua kutoka kwa Meneja wa Wakala wa
Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Tabora Eng. Damian Ndabalinze,
alipokagua kipande cha barabara ya Tabora mjini chenye urefu wa KM 6.

Meneja wa Wakala wa Barabara
nchini (TANROADS), mkoa wa Tabora Eng. Damian Ndabalinze, akionesha
hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Sikonge (Usesula)
yenye urefu wa KM 30 kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa.


No comments:
Post a Comment