
Washiriki wa Kongamano la Siku ya
Kimataifa ya Mtoto wa Kike wakiwa katika picha ya pamoja jana na baadhi
ya watoto wa kike wanaodhaminiwa masomo yao na mashirika yasiyo kuwa ya
kiserikali mara baada ya uzinduzi wa kongamano hilo jana Mjini
Shinyanga

Watoto wanaodhaminiwa na shirika
la Fema mkoani Shinyanga wakitumbuiza katika Kongamano la Siku ya
Kimataifa ya Mtoto w a kike lilofanyika katika Kijiji cha Kizumbi nje
kidogo ya Manispaa ya Shinyanga

Wafanyakazi wa Wizara ya Afya
,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau kutoka
mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wakiwa katika picha ya pamoja na
Wanakijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga walioshiriki
Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike liliofanyika jana katika
kijiji hicho.

Wasanii wa ngoma za asili za
kisukuma wakitoa burudani katika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto
wa Kike lilofanyika katika Kijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya
Shinyanga jana


No comments:
Post a Comment