
Mkuu
wa Wilaya ya Maswa Dkt Seif Shekalaghe kushoto akikabidhi mwenge wa
uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu Kulia Mhe. Elieza Chilagali katika
kata ya Kobondo wilayani Meatu mkoani Simiyu mwishoni mwa wiki.

Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
(MB) wa Kisesa akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkimbiza mwenge
kitaifa kutoka kwa Bw. James Sadick Munguji kutoka Simiyu, katika Mbio
za Mwenge Wilayani Meatu mwishoni mwa wiki.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina (kushoto) kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bw. George Jackson Mbijima na wajumbe wengine wakimsikiliza Bi Regina Anthon katikati alikyeshika kipaza sauti ambaeni ni katibu wa kikundi cha lishe cha mshikamao wilayani Meatu, wakati wa maonyesho ya shughuli za kikundi hicho baadaya kuupokea Mwenge wa Uhuru katika mji mdogo wa Mwandoya jimboni Kisesa


No comments:
Post a Comment