MKUU WA WILAYA YA IRINGA AZINDUA TIBA KINGA YA KICHOCHO
Pichani mbalimbali zikionyesha
Mkuu wa wilaya akiendesha zoezi la kugawa dawa kwa wanafunzi wa shule ya
msingi Umsalaam iliyopo manispaa ya Iringa. Pia alipatafursa ya
kuwafafnunulia baadhi ya wazazi waliokuwa na shaka na dawa hizo .
No comments:
Post a Comment