KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 8, 2016

NAIBU WAZIRI WA AFYA DK.KINGWANGALLA AFUNGA RASMI KONGAMANO LA WATAFITI

6
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiwahutubia Wanasayansi watafiti (Hawapo pichani)
walioshiriki kongamano la 30 Jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga
kongamano hilo la siku tatu.
 Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akielezea machache kabla ya kumwalika mgeni rasmi  kufunga mkutano huo
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akimpa shada la maua mmoja wa Staff member kwa namna
walivyoweza kuandaa kongamano hilo

No comments:

Post a Comment