
Meya wa Halmashauri ya Temeke Abdallah Chaurembo akikata
utepe kama ishara ya uzinduzi wa madarasa ya shule ya msingi Chamazi
Saku wilayani Temeke wakati wa makabidhiano yaliyofanyika shuleni hapo
jana, Madarasa hayo yamejengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC kwa
gharama ya shilingi milioni 32 , makabidhiano hayo yamefanyika shuleni
hapo mwishoni mwa wiki kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Nassib Mmbaga , Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Shirika la Nyumba NHC Susan Omari na Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Felix Lyaviva.



No comments:
Post a Comment