
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi
wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/10 /2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa maelekezo
wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Mpango
kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza
ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na
Ikulu.] 27/10 /2016.

Baadhi ya maafisa wa Vikosi vya
SMZ wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 cha Uongozi
wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ,kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 27/10 /2016.



No comments:
Post a Comment