
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali mara
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba alipohudhuria sherehe
za sikuya kilele cha Wazee Duniani zilizofanyika wilaya ya Chake chake
katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Pemba,[Picha na Ikulu,]
01/10/2016.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Watendaji mbali mbali wa Serikali mara alipowasili
katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo alipohudhuria sherehe za Siku
ya kilele cha Wazee Duniani zilizofanyika wilaya ya Chake chake katika
viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.

Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wazee Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu,] 01/10/2016.


No comments:
Post a Comment