Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba hafla hiyo ilifanyika jana Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mabalozi wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Waziri Mkuu Mhe Kasssim Majaliwa akiongea na wajumbe
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wajumbe
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akisoma risala yake
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe Angela
Kairuki, Katibu mkuu wake Dkt. Laurian Ndumbaro, Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad na viongozi wengine
wakiwa ukumbini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga alipowasili kwenye ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam kwa minajili ya kuzungumza na
Mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt.
Augustine Mahiga akingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar
es salaam kwa minajili ya kuzungumza na Mabalozi wanaowakilisha Tanzania
nchi za nje











No comments:
Post a Comment