![]() |
| Ngoma aina ya Ling’oma ikitoa burudani ili kuhakikisha inajizolea ushindi |
![]() |
| Naibu Spika akiteta jambo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania |
![]() |
| Naibu Spika na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania wakionesha umahiri wao wa kusakata ngoma aina ya Ndingara |
![]() |
| Baadhi ya Wabunge wa Mkoa wa Mbeya wakiwa katika pozi na Balozi wa Kenya nchini |
![]() |
| MAMIA ya Wakazi wa Nje na ndani ya Mkoa wa Mbeya wamejitokeza katika viwanja vya Tandale Tukuyu mjini kushuhudia Tamasha la ngoma za jadi lililoandaliwa na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dk. Tulia Ackson Mwansasu. Pamoja na wakazi hao pia Naibu Spika ameungwa mkono na Wabunge zaidi ya 20 pamoja na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania. |







No comments:
Post a Comment