
Mh. Waziri Waziri Ummy A.
Mwalimu akipiga ngoma ya asili wakati wa madhimisho ya siku ya wazee
duniani yaliyofanyika kitaifa wilaya ya mbalali, mbeya 1.10.2106

Wazee wakipita mbele ya mgeni
rasmi Mh. Ummy A. Mwalimu wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya
wazeeduniani yaliyofanyika kitaifa koanii Mbeya.1.10.2016
……………………………………………………..
Na Erasto Ching’oro na rehema Kasimoto, Rujewa- Mbarali, Mbeya
*Lengo ni kuondoa kero kwa wazee katika kupata Huduma za Afya
*Waziri wa Afya kupeleka Bungeni
Mswada wa Sheria ya Taifa ya Wazee kabla ya mwezi June 2017 ili pia
kuweka wajibu wa kisheria kwa watoto/familia kuwatunza wazee wao.


No comments:
Post a Comment