![]() |
| Arusha Press Club inawataarifu kuwa inasikitika kutangaza kifo cha
Mama yake mzazi wa bndugu yetu ambaye alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa
Arusha press club Nicodemus Ikonko (pichani akiwa na marehemu) na ambaye
kwa sasa ni Mhariri Mkuu wa gazeti la Serikali la Habari Leo jijini Dar
es salaam. Mama amefariki jana saa tatu asubuhi akiwa anapata matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kuhusu taratibu za maziko tutaendelea kujuzana hapo baadae. Mipango ya mazishi yanafanyika nyumbani kwa Bw. Ikonko huko Ukonga jijini Dar es salaam. Habari zaidi tutazitoa kadri zitapotufikia. |
October 26, 2016
TANZIA: MAMA MZAZI WA MHARIRI MKUU WA HABARI LEO NICODEMUS IKONKO AFARIKI DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment