| .Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akimuonesha namba
ya simu Afisa mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
nchini,Bakari Maggid (kushoto)ili
aihakiki ambapo Bw. Venansi Deo, Mkazi wa Kahama aliibuka mshindi wa
kitita cha shilingi Milioni 100/- kupitia droo kubwa ya promosheni ya
”kamata mpunga” inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia
pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100.Ili mteja aweze
kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno
“GO”kwenda namba 15544.Aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba
15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.Kulia ni Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa kampuni hiyo, James Wawenje. |
No comments:
Post a Comment