Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi
akiongea na Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Robert Mboma
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiwasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya
kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Davies Mwamunyange
alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini
kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini,
Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipowasili kufunga mafunzo
ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa
eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng.
John Kijazi alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua
ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Usalama wa Taifa Dkt Modestus Kipilimba alipowasili kufunga mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest
Mangu alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua
ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Katiba na Sheria Mama suzana Mlawi
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Majenerali wa JWTZ
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hizo Meja
Jenerali James Mwakibolwa
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuweka saini katika kitabu cha wageni
akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein

No comments:
Post a Comment