Kijana Said Ally akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nyumbani kwake, Mkuu wa Mkoa alikwenda kumjulia hali. Kijana huyo amepoteza macho yake mawili baada ya kuchomwa na visu na mtu
aliyejulikana kuwa ni kibaka maeneo ya Buguruni.
Sid Ally alikuwa
akisimulia tukio hilo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul
makonda…’Nilikuwa natoka kazini majiri ya saa nne usiku nikawa
nimesimama maeneo ya
Buguruni na nunua Kuku kwa ajili ya kupeleka nyumbani ndio alipokuja mtu kwa nyuma yangu na kuomba nimsaidie‘
‘Baada ya muda yule mtu
akanichoma kisu kwenye bege langu nikawa na piga kelele watu wanisaidie
lakini sikupata msaada pale watu wote walikuwa wananiangali
tu‘>>>Said Ally


No comments:
Post a Comment