![]() |
| Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema
kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu
sasa utaandaliwa Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama
ilivyotarajiwa.Viongozi kadha wa upinzani walioshiriki katika
mazungumzo ya amani ya kitaifa wameafikiana na uamuzi huo, lakini kuna
wale wanaoupinga wakisema ni njama ya Rais Joseph kabila kusalia
madarakani. Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi anaripoti. |



No comments:
Post a Comment