VODACOM TANZANIA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI
Afisa
Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet
Lwakatare akiongea na baadhi ya wateja waliofika kupata huduma
mbalimbali katika duka la kampuni
hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya
kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Baadhi
ya wateja wa Vodacom Tanzania waliofika kupata huduma mbalimbali katika
duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo
wakichukua keki kutoka
kwa Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom
Tanzania,Harriet Lwakatare(kushoto) ikiwa ni sehemu ya kufurahia kwa
pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Mmoja
wa wateja wa Vodacom Tanzania aliyefika kupata huduma mbalimbali katika
duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo
akifurahi jambo wakati
alipokuwa akipewa keki na Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa
kampuni hiyo,Harriet Lwakatare(kulia) ikiwa ni sehemu ya kufurahia kwa
pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Baadhi
ya maafisa waandamizi wa Vodacom Tanzania,wakiwa wamebeba keki tayari
kwa kuwagawia wateja na wafanyakazi wa kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya
kufurahia kwa pamoja
kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
No comments:
Post a Comment