KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 8, 2016

WAFANYAKAZI WA ENGENDER WAMKARIBISHA RAIS WAO NCHINI


Siku kadhaa baada ya kuwasili nchini, Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller amefanyiwa halfa ya kumkaribisha nchini na wafanyakazi wa shirika hilo lenye makao makuu yake nchini New York, Marekani.
MO Blog imekuwekea picha jinsi halfa hiyo ilivyofanyika.
Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya na wadau wa Elimu  kuhusiana na Uzazi wa Mpango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumkaribisha hapa nchini.
Mkurugenzi Mkazi wa shirika la EngenderHealth hapa nchini, Richard Killian akibadilishana mawazo na baadhi ya wadau wa afya na elimu katika hafla ya Kumkaribisha  Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller hapa nchini

No comments:

Post a Comment