WAKAZI WA DAR NA PWANI WANUFAIKA NA SMART GULIO LA VODACOM TANZANIA WIKIENDI HII
Wateja wakifurahia simu za smart phone baada ya
kuzinunua kwenye Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano
lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City
jijini Dar es Salaam leo.
Gulio la Smart phone lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja
vya Mlimani City jijini Dar es Salaam leo lilihudhuriwa na wateja wa
rika zote , watoto na wazazi wao kama wanavyoonekana hawa wakazi hao
wakiangalia vipeperushi.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitoa maelezo kwa wakazi wa Dar es
Salaam waliohudhuria Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano
lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City
jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment