Jana
Oktoba 08, 2016 kuamkia leo jumapili Oktoba 09, 2016 ilikuwa Shangwe
kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake kwenye tamasha kubwa
la "The Nyama Choma Festival" lililofanyika kwenye viunga vya Rock City
Mall.
Msanii
AY aliwapagawisha wakazi wa Jiji la Mwanza huku wakipata nyama
zilizochomwa kwa ustadi wa hali ya juu huku #LakeFmDjz wakidondosha
burudani pamoja na DjK3 kutoka Jijini Dar es salaam. Kumbuka 102.5 Lake
Fm ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa waliofanikisha tamasha hilo.
Na BMG
Mkali AY akidondosha burudani jukwaani
Shangwe kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake
Shangwe kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake


No comments:
Post a Comment