WAKAZI WA JIJI LA DAR WASHIRIKI MAZOEZI YA VIUNGO CHINI YA VODACOM TANZANIA
Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam,wakishiriki katika mazoezi ya viungo
yaliyoandaliwa na EFM radio na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania,Wakifanya mazoezi katika
kiwanja cha Magunia Msasani jijini Dar es Salaam.

Msanii
chipukizi wa mziki wa singeli, Yohana Mruta akiimba baada ya mazoezi ya
viungo kuisha yaliyoandaliwa na EFM radio na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania katika kiwanja
cha Magunia Msasani jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment