KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 8, 2016

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI ENDELEVU YA FAHARI YA TANZANIA NA TUZO KWA BIDHAA 50 ZA KITANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni endelevu ya Fahari Tanzania, iliyoambatana na utoaji wa Tuzo kwa Bidhaa 50 bora za Kitanzania zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda,Bisahara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni endelevu ya Fahari
Tanzania, iliyoambatana na utoaji wa Tuzo kwa Bidhaa 50 bora za Kitanzania.

 Meneja wa kampeni ya Fahari ya Tanzania Bw. Emmanuel Nnko akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni hizo ambapo alifafanua umuhimu wa kununua bidhaa za Tanzania.
 Picha ya Tuzo 50

No comments:

Post a Comment