| Mshindi
wa jiongeze na M-Pawa mkazi wa Buza temeke
mkoa wa Dar es Salaam, Astride Mtewele(kushoto) akipokea fedha taslimu
shilingi Milioni 20/- kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu (kulia)Anayeshuhudia
katikati Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar
es Salaam,Domician Mkama, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika
jijini mwishoni mwa wiki. |
No comments:
Post a Comment