
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Pensheni (PSPF) Adam Mayingu, akizungumza na wanachama wa Chama Cha
Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) wakati wa maadhimisho ya wiki
ya Huduma kwa Mteja jana. kulia anaemwangalia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,
Martin Shigella.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Pensheni (PSPF) Adam Mayingu, akipokea Hati na Katiba ya Chama Cha
Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) kutoka kwa aliekuwa Afisa
Elimu shule ya Msingi jiji la Tanga, Damass Kifanga.

Wanachama wa Chama Cha Walimu
Wastaafu jiji la Tanga (Chawajita) , wakifuatilia hotuba ya mkurugenzi
mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mainga, wakati wa maadhimisho ya
wiki ya huduma kwa mteja kwa walimu wastaafu uliofanyika Tanga jana.


No comments:
Post a Comment