
Wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga
wamevamia chanzo cha maji cha Mto Lwiche, na kujihusisha na shughuli za
kilimo pamoja na upandaji wa miti ya mikaratusi inayonyonya maji, chanzo
hicho ni miongoni mwa Vyanza vya maji vilivyopo hatarini kutoweka.
Uharibifu Mkubwa wa Mazingira
katika Vyanzo Vya maji. Pichani ni kilimo cha miwa katika mto katika
kijiji cha Limba, Sumbawanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba ameagiza watu hao
kuondelewa mara moja


No comments:
Post a Comment