KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 1, 2016

WAZIRI MKUU ASHANGAZWA NA KODI KUBWA SOKO LA DODOMA

dom1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa Soko kuu la Dodoma la Majengo  wakati alipotembelea soko hilo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
dom2
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Jordan Rugimbana akimkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuzungumza na wafanyabiashara wa soko kuu la Manispaa ya Dodoma la Majengo baada ya kulitembelea Oktoba 1, 2016. (Picha na ofisi ya Wziri Mkuu)
dom3
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa   akitembelea soko kuu la Manispaa ya Dodoma la Majengo  Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
dom4
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa   akitembelea soko kuu la Manispaa ya Dodoma la Majengo  Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
dom5
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa   akitembelea soko kuu la Manispaa ya Dodoma la Majengo  Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
dom6
Kama kawaida ya watanzania wengi siku hizi suala la matumizi ya mabango kama njia ya kuwasilisha ujumbe wao kwa viongozi  wafanyabiashara  hawakuzubaa  wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea soko kuu la manispaa ya Dodoma la majengo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment