Keki ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja katika Benki ya CRDB tawi la Tegeta jijini Dar es Salaam.
Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala akisaidiana
na wateja wa tawi la CRDB tawi la Tegeta kukata keki kwaajili ya
kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
Mteja
wa mda mrefu wa CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex akishuhudiwa na
wafanyakazi wa Tawi hilo wakati akikata keki kusheherekea wiki ya huduma
kwa wateja.
Mteja
wa Muda mrefu, John Dilinga (Dj JD) na Mfanyakazi wa Tawi la Tegeta
Kibo Complex, Neema Witts wakifungua Shampeini wakati wa hafla fupi ya
kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.






No comments:
Post a Comment