Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya mkoa wa Dodoma Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoa maelekezo ya kuboresha usafi wa mazingira ya hospitali ya Mkoa wa
Dodoma wakati alipoitembelea hospitali hiyo Oktoba 1, 2016. Kulia
kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

akizungumza na watumishi wa hospitali ya mkoa wa Dodoma baada ya
kutembelea hospitali hiyo Oktoba 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Jordan Rugimbana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya watumishi wa hospitali
ya mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao baada ya kuitembelea hospitali hiyo, Oktoba 1, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment