
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J Mtigumwe akifungua mkutano wa wadau wa utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi.

Mkuu
wa kitengo cha mawasiliano kutoka shirika la Icap Mama Mihayo Bupamba
akitoa mada katika kikao cha wadau wa utafiti wa viashiria na matokeo ya
Ukimwi.

Wadau wa utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi wakisikiliza kwa umakini kikao cha utafiti huo.

Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J Mtigumwe (katikati) akifuatilia
mada katika mkutano wa wadau wa utafiti wa viashiria na matokeo ya
Ukimwi kushoto kwake ni katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Utawala na
Rasilimaliwatu Buhacha B. Kichinda na Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa
ofisi ya Takwimu Mkoa wa Singida Naing’oya Kipuyo.


No comments:
Post a Comment