| Mgeni rasmi Afisa
Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (wa pili kulia) na
Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia
Muholo (wa tatu kulia), na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kivulini ya jijini Mwanza,
Yassin Ally (wa pili kushoto) Mkaguzi wa Polisi Prisca Komba wa Dawati la
Jinsia Polisi Kinondoni (kushoto) na Jackline Mlay wa Kitengo cha haki za
Jinsia Oxfam, kwa pamoja wakiinua vipeperushi baada ya mgeni rasmi kuzindua
Awamu ya Tatu ya Kampeni ya ‘Tunaweza’ iliyofanyika kwenye Viwanja vya Biafra
jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Mafoto Blog |
No comments:
Post a Comment