KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 1, 2016

MKAZI WA ARUSHA ALAMBA MILIONI 45 ZA M-BET

Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 29/- Mkazi wa shangarai mkoani Arusha, Kaungame Menas(kulia)alizojishindia kupitia mchezo wa kubahatisha wa M bet. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo,katikati ni Msemaji wa M bet,Godluck Wambura.

Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 29/- kupitia M bet, Kaungame Menas,(kulia)akiowaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) hundi yake baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba(kushoto)pamoja na Msemaji wa M bet,Godluck Wambura(katikati)wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo

Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba(kushoto)na Msemaji wa M bet,Godluck Wambura(kulia)wakimshuhudia mshindi wa shilingi milioni 29/- Mkazi wa shangarai mkoani Arusha, Kaungame Menas(katikati)akisaini fomu kwa ajili ya malipo ya fedha zake alizojishindia kupitia mchezo wa kubahatisha wa M bet,wakati wa hafla ya kumkabidhi hundi yake iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment