Rais
Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu
ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani
Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais
Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe.
Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt
John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar
Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
Rais
Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu
katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa hiyo ya kitaifa aliyomwandalia mgeni
wake Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa
Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akisherehesha hafla hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk
No comments:
Post a Comment