KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 8, 2017

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA PICHA MKOANI SINGIDA

Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
akikata utepe kuzindua kituo na kiwanda cha kuongeza thamani mazao ya
nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama VICOBA wa
wilaya ya Singida, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema
Nchimbi na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa shirika la UN women
Tanzania  Maria Karadenizli.
Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakikagua hatua
za uongezaji wa thamani wa mazao ya nafaka kama mahindi, mtama na uwele
katika kiwanda kinachomilikiwa na kikundi cha akina mama VICOBA wa
Wilaya ya Singida.
 Akina mama wa Mkoa wa Singida wakipita mbele ya Waziri wa afya,
Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu na Mkuu wa Mkoa
wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakiandamana na kutoa ujumbe wa siku ya
wanawake duniani.
 Mbunge wa Viti maalum CCM mkoa wa Singida Aisharose Matembe akiwa na
akina mama wa Mkoa wa Singida wakipita mbele ya Waziri wa afya,
Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu na Mkuu wa Mkoa
wa Singida Dokta Rehema Nchimbi wakiandamana na kutoa ujumbe wa siku ya
wanawake duniani.
 Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
akikagua kitanda cha chumba cha upasuaji katika hospitali ya rufaa ya
Mkoa wa Singida katika maadhimisho ya siku ya  wanawake dunian
i.
Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
akiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta John Mwombeki (kulia) na
mbunge wa viti maalumu CCM mkoa wa Singida Aisha rose Matembe (kushoto)
wakiwa nje ya jengo la utambuzi wa magonjwa la hospitali ya rufaa ya
Mkoa wa Singida.

Mkoa wa Singida
Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu
akipanda viazi katika eneo la kituo na kiwanda cha kuongeza thamani
mazao ya nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama
VICOBA wa wilaya ya Singida, kulia kwake ni Mbunge wa viti maalumu  CCM
Mkoa wa singida Aisha rose Matembe na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi
wa shirika la UN women Tanzania  Maria Karadenizli wa kwanza kabisa
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi .

No comments:

Post a Comment