![]() |
| Mkurugenzi wa Idara ya Habari Dkt. Hassan Abbass akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nuru Millao (hayupo pichani) wakati wa Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini mapema hii leo Mjini Dodoma. |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nuru Millao akizungumza na Maafisa Mawasiliano wa Serikali (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha maafisa hao mapema hii leo mjini Dodoma, kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Dkt. Hassan Abbass . |
![]() |
| Bw. Dotto Paul toka Shule Kuu ya Uandishi wa Habari (IJMC) akitoa mada kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha maafisa hao (hawapo pichani) mapema hii leo mjini Dodoma. |
![]() |
| Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi mapema hii leo mjini Dodoma. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Bw. Theophil Makunga akitoa mada kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha maafisa hao (hawapo pichani) mapema hii leo mjini Dodoma. |
![]() |
Afisa Mawasiliano toka Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bw. Innocent Mungi akichangia mada
wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali mapema hii leo
mjini Dodoma.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo
|








No comments:
Post a Comment