![]() |
| Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa ambaye pia ni Mlezi wa Chama cha Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza(TPS SACCOS LTD) akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Kaimu Mrajis wa Vyama vya Ushirika afungue rasmi Mkutano Mkuu wa Nne wa TPS SACCOS Ltd leo Machi 13, 2016 uliofanyika kwa siku moja katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga – Dar es Salaam. |
![]() |
| Kaimu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Bw. Colin Nyakunga akitoa salaam ya Ushirika kabla ya kutoa Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa TPS SACCOS Ltd leo Machi 13, 2016 uliofanyika kwa siku moja katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga – Dar es Salaam. |
![]() |
| Meza Kuu wakiwa wameketi wakifuatilia zoezi la Utambulisho wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nne wa TPS SACCOS Ltd leo Machi 13, 2016 uliofanyika kwa siku moja katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga – Dar es Salaam (katikati) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa(Kulia) ni Kaimu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Bw. Colin Nyakunga(kushoto) ni Mwenyekiti wa TPS SACOSS LTD, SACP. Gideon Nkana. |
![]() |
| Mwenyekiti TPS SACCOS Ltd, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Gideon Nkana akiteta jambo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa(Kulia). |
![]() |
| Baadhi ya Watendaji wa Chama cha Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza wakiwajibika katika Mkutano huo kama inavyoonekana katika picha. |
![]() |
| Kaimu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Bw. Colin Nyakunga(wa nne toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nne wa TPS SACCOS Ltd uliofanyika katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga – Dar es Salaam(wa nne toka kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa tatu kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga (wa pili kulia) ni Naibu Kamishna wa Magereza, Edith Mallya(wa pili kushoto) ni Mwenyekiti TPS SACCOS Ltd, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Gideon Nkana(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza). |








No comments:
Post a Comment