
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini
wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la
Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitakiana amani na
watawa wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki
la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini
wengine kupokea Ekaristi Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba
katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma leo Ijumaa
Machi 10, 2017

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na waumini baada ya
misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba
mjini Dodoma leo Ijumaa Machi 10, 2017
No comments:
Post a Comment