KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 11, 2017

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI ALIVYOONGOZA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI JANA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika jana Chamwino, Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika jana Chamwino, Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumzana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika jana  Chamwino, Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa maelezo ya ufunguzi wa kikao hicho
 Dk. Magufuli akiendesha kikao hicho
 Dk. Magufuli, Dk. Sheini na Makamu Mwenyekiti waCCM -Bara, Philip Mangula wakifurahia jambo wakati wa kikao hicho
 Kikao kikiendelea

No comments:

Post a Comment