
Mjumbe mwakilishi wa
madhehebu ya dini sheikh Salum Ngaa akichangia hoja wakati wa kikao
kilichoongozwa na mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu pichani
wakiwa na wajumbe wa kamati ya mfuko wa elimu wilaya.

Kaimu mkurugenzi wa
halmashauri ya wilaya ya Ikungi Haika Massawe akichangia hoja wakati wa
kikao cha wajumbe wa kamati ya mfuko wa elimu wilaya.



No comments:
Post a Comment