
Askari wa usalama barabarani
mkoani Singida, E.8763. Sgt. Benes Lucas akikagua mabasi yanayotumika
kusafirisha wanafunzi mjini hapa jana.

Baadhi ya mabasi kati ya 20
yanayotumika kusafirisha wanafunzi Mkoani Singida yakifanyiwa ugazi na
askari usalama barabarani kwa lengo la kujiridhisha ubora wake.

RTO Mkoa wa Singida Mrakibu wa polisi Peter Raphael Majira akitoa taarifa ya zoezi la ukaguzi wa mabasi yanayotumika kusafirisha wanafunzi kwa lengo la kukagua ubora na pia kuwakumbusha madereva na wamiliki wa mabasi hayo juu ya sheria za usalama barabarani


No comments:
Post a Comment