Msafara wa Timu ya Ruvu Shooting Umepata Ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Dar es Salaam.
Ruvu
Shooting walikuwa njiani wakiokea Shinyanga walipocheza mchezo wao wa
kumalizia msimu wa 2016/2017 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya
Stand United
Taarifa
kutoka kwa mmoja wa wachezaji waliokuwapo zinasema kwamba gari hilo
likiwa katika Mwendo, tairi lilipasuka na kusababisha gari kuhama Njia
na kuparamia miti iliyokuwa jirani.




No comments:
Post a Comment