
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
TADB, Bw. Francis Assenga (kushoto) akimsikiliza Katibu na Mwanasheria
wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC), Bw. Ali Hilali Vuai
(kulia) wakati wa Kikao cha Wadau wa Karafuu ambapo TADB ilialikwa
kuwasilisha mada.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC), Bw. Kassim Maalim
Suleiman (kushoto) akizungumza wakati wa Kikao cha Wadau wa Karafuu
ambapo TADB ilialikwa kuwasilisha mada juu ya fursa zinazopatikana kwa
ajili ya wakulima na wadau wa kilimo cha karafuu.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
TADB, Bw. Francis Assenga akiwasilisha mada juu ya fursa zinazopatikana
kwa ajili ya wakulima na wadau wa kilimo cha karafuu wakati wa Kikao cha
Wadau wa Karafuu visiwani Zanzibar.


No comments:
Post a Comment